Faida Za Kula Karoti Mbichi

Asili Ya Karoti Ni Asia,Na Mwanzoni Zilikuwa Zilioteshwa Kwa Wingi Karoti Ambazo Si Rangi Ya Orange(Rangi Ya Chungwa) Tulizonazo.
VIRUTUBISHO NDANI YA KAROTI Ni pamoja Na Vitamin A(Asilimia Nyingi Zaidi),Vitamin C,Zinc,Carbohydrates,Calcium,Iron,Magnesium,phosphorus,potasium,sodium,madini chuma ,Mafuta,Nyuzinyuzi,Vitamin B Na Vitamin KK
FAIDA ZAKE Ni Kuongeza Uwezo Wa Macho Kuona,Kutibu Matatizo Ya Macho,Hutibu Kansa,Kuzuia Kansa,Kuzuia Matatizo Ya Tezi Dume,Kuzuia Kansa Ya Mapafu,Kuzuia Kansa Ya Utumbo,Kusafisha Sumu Mwilini,Kuongeza Seli Nyeupe Za Damu,Kutibu Matatizo Ya Damu Kama Leukaemia,Kuwasaidia Wenye Anaemia(Upungufu Wa Damu),Kuongeza Kumbukumbu Na Uwezo Wa Akili,Kuimarisha Afya Ya Mtu Mwenye Kisukari, Kutibu Presha Ya Damu,Kuzuia Kuugua Mara Kwa Mara, Na Kuondoa Uchovu.
KAROTI NA UREMBO,Hutunza Ngozi,Kufanya Ngozi Nzuri Na Inayovutia,Kuondoa Makunyanzi,Kuondoa Mabaka Na Kutibu Haraka Vidonda Vya Juu Ya Ngozi. Hufanaya Macho Kuwa Meupe(Good-Lookin Eyes)
TUMIA KAROTI Ikiwa Mbichi Na Iliyooshwa Kwa Maji Ya Moto,Pia Unaweza Kuandaa Juisi Yake Na Ukatumia Kwa Kuweka Asali Badala Ya Sukari,Au Unaweza Kuitafuna Kama Tunda.
MUDA NZURI WA KULA KAROTI,Ni kutumia karoti Masaa Mawili Kabla Ya Chakula.Au Pia Unaweza Kutumia Asubuhi Na Mapema Ukiamka Na Utumie Chakula Masaa Mawili baadae.
KUMBUKA:Matumizi Ya Vyakula Vya Matunda Na MbogaMboga, Ikiwemo Karoti Hupendekeza Tupunguze Kula Wanga,Mafuta,Sukari Nyingi,Chumvi Na Vyakula Vya Kemikali,Ikiwemo Vileo,Soda,Sigara N.K.PROTINI Zinaweza Kutumika.
NYONGEZA:Karoti Ikitumiwa Kwa Wingi Hubadili Rangi Ya Ngozi,Kuelekea Kuwa Kama Ya Karoti.

KWA WATU WALIOKO MAZINGIRA MAGUMU KUPATA KAROTI,MFANO Mabaharia,Au Marubani Au Nahodha Wa Meli Na Wana-Anga,Au Kazi Yoyote Ambayo Si Rahisi Kupata Karoti, Kirutubisho Cha B-Carotene(KAROTI KATIKA MFUMO WA VIDONGE) Kinaweza Kuwafaa Kuwa Nacho.
Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World.
KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama
Sms, call ,Whatsapp 0654523177
Whtsapp Moja Kwa Moja Bofya https://wa.me/255654523177
Email afyaraha@gmail.com