Matatizo Ya Uzazi Kwa Wanawake-Tiba Asilia

Mungu Ni Upendo


Vipimo Matatizo Ya Wanawake

Matatizo Ya Mfumo Wa Uzazi Ya Mwanamke Hujumisha Mfuko Wa Mayai,Mirija Ya Mkojo,Matiti,Ubongo,Na Homoni.

Tunajumuisha Kwa Mchanganuo
1.Kutokwa Uchafu Sehemu Ya Uke
2.Kuwasha Ukeni
3.Mzunguko Mbovu Wa Hedhi
4.Maumivu Yasiyo Ya Kawaida Wakati Wa Hedhi
5.Maambukizi Ya Fangasi
6.Matatizo Ya Hamu Ya Mapenzi,Kutofika Kileleni Na Kutopata Hamu Wala Raha Wakati Wa Tendo.
7.Fibroids/Vimbe Katika Kizazi.
8.Matatizo Mengine ya Mfuko Wa Uzazi.
9.Vaginist
10.PID
11.Melisma Na Vidoa Vyeuscom
12:Kukosa Usingizi
13:Unene Kupindukia
14:Matatizo Katika Matiti
15:Ugumba
N.k
DALILI ZA MATATIZO YA UZAZI KWA WANAWAKE
Dalili Huweza Kutofautiana Kulingana na Utofauti wa Tatizo,Lakini Uonapo dalili za

1.Mwasho Ukeni,
2.Unene Usiopungua,
3.Uchafu Ukeni,
4.Harufu Mbaya,
5.Kutotunga Mimba,
6.Maumivu Yasiyo Ya Kawaida Ya Hedhi
7.Maumivu Chini Ya Kitovu Na Katika Mfupa Wa Kiuno
8.kutoka damu katika uke kusiko kawaida
9.Maumivu Au Damu Wakati Wa Tendo La Ndoa
10.Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa
11.Kutosikia Raha Wakati Wa Tendo La Ndoa
12.Maumivu Unapotoa Haja Ndogo
13.Matiti Kuvimba Kuliko Kawaida

Na Dalili Zozote Zisizo Za Kawaida Ni Vyema Kupata Vipimo.
Una dalili Za Matatizo Ya Uzazi Au Una Matatizo Hayo?
Au Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.Pia Nikusaidie Kutibu Matatizo Yanayokusumbua.
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World

Kwa Virutubisho Vya Kurejesha Afya Ya Mwanamke Utaondokana Na Matatizo Mengi Ya Afya.

SHUHUDA ZETU

KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama.
Sms call Whatsapp 0654523177
Email afyaraha@gmail.com

Comments