Kirutubisho Chai Ya Pro Slim Tea

Mungu Ni Upendo

Pro-Slim Tea

Viungo:

pro slim tea
Folium Nelumbinis, Semen Cassiae, Semen Raphani, Fructus Cannabis, Flos Aurantii, Pollen Pini Extractum

Kazi Na Faida Zake

    • Kuongeza kasi ya uvunjwaji wa seli na kupunguza mafuta;
    • Kuunguza mafuta kama nishati ili kupunguza kiwango cha lipid cha mwili;
  • Kupunguza ufyonzwaji wa mafuta na kusaidia kupunguza uzito

Yafaa Kutumika Kwa:

    • Watu wenye uzito mkubwa
    • Watu wanene
  • Watu wanaopenda kuweka mili yao kwenye uzito unaofaa

Maelezo Muhimu:

Unene:
Unene unatokana na kuingiza ndani ya mwili nishati zaidi ya ile inayotolewa, hali inayosababisha mafuta kutunzwa kwa wingi zaid ndani ya mwili. Mafuta yanayotunzwa yakiwa mengi mno husababisha seli za mafuta kuwa kubwa na uwiano wa seli za adipose (adipose tissue) kuongezeka. Tishu za adipose hupatikana zaidi kwenye ngozi na kuzunguka viungo vya ndani ya mwili.
Kupunguza unene ni kazi ya kupunguza ukubwa wa seli za mafuta za tishu za adipose na hivyo kupunguza uwiano wa mafuta katika mwili wa binadamu. Ni kuvunjavunja mafuta ya ziada yaliyopo kwenye adipocyte na kuyageuza kuwa nishati ambayo itachukuliwa na mwili. Kwa jinsi hiyo, seli za mafuta zitapunguza ukubwa wake.
kupunguza seli za mafuta
Mafuta mengi kupita kiasi na uzito mkubwa huathiri vitu vingi katika maisha na afya zetu. Utafiti umeonyesha kuwa unene unahusishwa na magonjwa ya mishipa ya moyo, ujazo wa mafuta katika mishipa ya damu, presha ya kupanda, kisukari na baadhi ya uvimbe (kama kansa ya maziwa na endometrial carcinoma).
Chai ya pro-slim Tea ya Green World inatumia mimea asilia na ina uwezo wa kuamsha lipolytic enzyme ya miili yetu, kuongeza kasi ya adipolysis, kusaidia uchomaji mafuta na wakati huo huo ikizuia ufyonzwaji wa mafuta katika utumbo mwembamba baada ya kula chakula na kupunguza mafuta katika miili yetu kwa kiwango kikubwa sana. Inaweza kupunguza unene wa subcutaneous fat na kupunguza kiuno na mapaja. Bidhaa hii inatoa matokeo makubwa ya upunguzaji wa unene. Inakamuliwa na kuchujwa kwa njia za asili na ina uwezo wa kuzuia kurudiwa na unene.
Folium Nelumbinis:
Mchujo wa Folium Nelumbinis huzuia kuongezeka kwa uzito wa mwili, uzito wa tishu za adipose na kiwango cha triacylglycerol katika ini. Inazuia kufyonzwa kwa lipids na wanga, huongeza kasi ya uvunjwaji wa lipid na kuongeza matumizi ya nishati .
Semen Cassiae:
Semen Cassiae huondoa joto kali kutoka kwenye maini, kuboresha uwezo wa macho wa kuona vitu vyembamba na kulegeza tumbo ili kuondoa tatizo la kukosa choo. Pia hupunguza mafuta ndani ya damu.
Semen Raphani:
Semen Raphani inaboresha umeng’enyaji wa chakula na kuzuia gesi tumboni, inaboresha utolewaji wa nyongo, ambayo hutumia cholesterol zaidi kutoka kwenye damu, na hivyo kusaidia kupunguza uzito wa mwili .
Fructus Cannabis:
Uwepo wa mafuta kwa wingi hulainisha kuta za utumbo mpana na kusaidia mtiririko wa chakula. Wakati huo, mafuta, protini, madini na vitamini vilivyomo ndani ya Fructus Cannabis huuongezea mwili virutubishi muhimu.
Flos Aurantii:
Inaongeza kasi ya mzunguko wa damu, kupunguza lipids katika damu, huboresha ufanyaji kazi wa bandama na tumbo. Inapendekezwa sana kutumika kwa unene unaosababishwa na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ulio dhaifu.
pro-slim
Je Unahitaji Kirutubisho Cha Chai Cha Pro Slim Tea Kwa Ajili Ya Afya Yako?
Wasiliana Nami David Mondi-mshauri Toka Green World
KUMBUKA,Afya Ni Utajiri Katika Dunia Ya Sasa,Ni Wajibu Kuilinda.Nimeweka Wazi Kwako fursa ta kulinda afya na bidhaa za GREEN WORLD,
Sms call Whatsapp 0654523177
Email afyaraha@gmail.com

Comments