Kipara Na Nywele Kunyonyoka-Tiba Sahihi

Mungu Ni Upendo


Hili Ni Tatizo la Nywele Kupotea Katika Kichwa Au Popote Mwilini.
Mara Nyingi Kichwani Ndio Huhusika Zaidi,Na Kwa Baadhi Ya Wengi Husababisha Msongo Mkubwa Wa Mawazo.
Chanzo Chaweza Kuwa Matatizo Ya Homoni,Tiba Za Mionzi Na kukaa Katika Mionzi Mingine Pia Upungufu Wa Lishe Mwilini.FangasPia Huweza Kusababisha.
Dalili Za Tatizo La Nywele Kunyonyoka Ni Kutoweka Kwa Nywele Kidogokidogo katika kikundi cha eneo husika la mwili kichwani au popote pale.
Tuna Virutubisho Lishe Asilia Vya Kumsaidia Mwenye Tatizo,Kutibu Tatizo.Kwa Kusafisha Seli Ya Ndani Ya Mwili,Kuupa Mwili Virutubisho Kuufanya Uwe Imara Zaidi Na Kuendeleza Utendaji Kazi Wa Mwili Kama Kawaida.Virutubisho Lishe Asilia Vyenye Mchanganyo Asilia Wa Blueberry.
Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World.
KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama
Sms, call ,Whatsapp 0654523177
Whtsapp Moja Kwa Moja Bofya https://wa.me/255654523177
Email afyaraha@gmail.com

Comments