Harufu Mbaya Mdomoni-Tiba Asilia

Mungu Ni Upendo
Tatizo La Harufu Mdomoni Hutokana Na Sababu Mbalimbali Ikiwemo,Utumiaji Wa Vitunguu Swaumu Na Baadhi Ya Vyakula,Usafi Hafifu Wa Kinywa,Maambukizi Katika Kinywa(Meno,Mdomo).Wakati Mwingine Tatizo Likizidi Hutokana Na Matatizo Ya Mfumo Wa Mmeng’enyo Wa Chakula.


Tuna Virutubisho Lishe Asilia Vya Kumsaidia Mwenye Tatizo,Kutibu Tatizo.Kwa Kusafisha Seli Ya Ndani Ya Mwili,Kuupa Mwili Virutubisho Kuufanya Uwe Imara Zaidi Na Kuendeleza Utendaji Kazi Wa Mwili Kama Kawaida.Virutubisho Lishe Asilia Vyenye Mchanganyo Asilia Wa Blueberry.
Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World.
KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama
Sms, call ,Whatsapp 0654523177
Whtsapp Moja Kwa Moja Bofya https://wa.me/255654523177
Email afyaraha@gmail.com

Comments