Fangasi Sugu Miguuni(Athlete Foot)-Tiba Yake Asilia

Mungu Ni Upendo


Fungus kushambulia miguu hasa katikati ya vidole na kwenye nyayo.Hasa Tatizo Hukua Katika Kile Kipindi Mguu Ukipata Joto Pamoja Na Unyevu.Kwa Baadhi Ya Watu Hufikia Hatua Ya Kuacha Kuvaa Viatu Na Harufu Mbaya Mguuni.
Mara Nyingi Mtu Huweza Kujigundua Mwenyewe Ikiwa Ana Tatizo Hili.Dalili Ni Pamoja Na Mwasho Mkali,Kuhisi Mguu Unaungua Na Malengelenge.Pia Kuvimba Hutokea Kwa Baadhi Na Kutokana Na Kujaribu Kwingi Kutibu Kunakoshindikana Wengine Hata Wameamini Huwa Haiponi.
Tuna Virutubisho Lishe Asilia Vya Kumsaidia Mwenye Tatizo,Kutibu Tatizo.Kwa Kusafisha Seli Ya Ndani Ya Mwili,Kuupa Mwili Virutubisho Kuufanya Uwe Imara Zaidi Na Kuendeleza Utendaji Kazi Wa Mwili Kama Kawaida.Virutubisho Lishe Asilia Vyenye Mchanganyo Asilia Wa Blueberry.
Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World.
KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama
Sms, call ,Whatsapp 0654523177
Whtsapp Moja Kwa Moja Bofya https://wa.me/255654523177
Email afyaraha@gmail.com

Comments