Chanzo Cha Mafua(Flu) Na Tiba Yake Asilia

Mafua Makali-Flu au Influenza Ni Maambukizi Ya Virusi Hasa Hushambulia Mapafu,Njia Ya Hewa Na Pua.Watoto Wadogo,Wazee,Wajawazito Ma Watu Wenye Kinga Hafifu Huwa Katika Hatari Zaidi.

HUENEA Kwa Njia Ya Hewa,Kugusana,Mate,Au Kugusa Sehemu Yenye Virusi Vya Influenza
HUGUNDULIKA Kwa Mtu Mwenyewe Kuona Dalili Za Homa Kali,Uchovu,Maumivu Ya Misuli,Kukojoa Sana,Kukosa Hamu Ya Kula,Jasho Na Mafua Makali,Pua Kuuma,Pua Na Njia Ya Hewa Kuziba,Kupumua Kwa Shida,Maumivu Ya Kifua Na Kichwa Na Kuvimba Kwa Tezi.
KUTIBU Ukiwa Nyumbani,Napendekeza Kutumia Matunda Na MbogaMboga Kwa Wingi Na Kupunguza Vyakula Vya Wanga Ili Kuinua Kinga,Ikiwa Sugu Ni Vyema Ukapata Tiba.
Tuna Virutubisho Lishe Asilia Vya Kumsaidia Mwenye Tatizo,Kutibu Tatizo.Kwa Kusafisha Seli Ya Ndani Ya Mwili,Kuupa Mwili Virutubisho Kuufanya Uwe Imara Zaidi Na Kuendeleza Utendaji Kazi Wa Mwili Kama Kawaida.Virutubisho Lishe Asilia Vyenye Mchanganyo Asilia Wa Blueberry.
Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World.
KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama
Sms, call ,Whatsapp 0654523177
Whtsapp Moja Kwa Moja Bofya https://wa.me/255654523177
Email afyaraha@gmail.com