Chanzo Cha Bawasiri Na Kuiponesha

Bawasiri ni Kuvimba Kwa Mishipa Ya Vena Katika Njia Ya Utumbo Mpana Kwa Mwisho Hadi Katika Njia Ya Haja Kubwa Ambayo Husababisha Maumivu, Kupasuka Mishipa Ya Damu Na Kutoka Damu Na Kutojisikia Vizuri
Tatizo Hutokana Na Matatizo ya mmeng’enyo wa chakula,unene na ujauzito
Dalili Zake Huonekana Kwa Mhusika Moja Kwa Moja Ikiwa Ni Pamoja Na Kupata Shida Wakati Wa Kukaa Na Kutembea,Pia Kuwashwa Na Damu Kuvuja Wakati Wa Haja Kubwa.

Mtu Huweza Kupata Dalili Za Maumivu Makali Katika Eneo La Tatizo Hasa Akihitaji Kukaa Au Kutembea,Pia Damu Katika Njia Ya Haja Kubwa,Choo kufumga,Gesi Tumboni,Kuwashwa Na Vimbe Kubwa Na Ndogo
Tuna Virutubisho Lishe Asilia Vya Kumsaidia Mwenye Tatizo,Kutibu Tatizo.Kwa Kusafisha Seli Ya Ndani Ya Mwili,Kuupa Mwili Virutubisho Kuufanya Uwe Imara Zaidi Na Kuendeleza Utendaji Kazi Wa Mwili Kama Kawaida.Na Kutibu Tatizo Bila Upasuaji.Virutubisho Lishe Asilia Vyenye Mchanganyo Asilia Wa Blueberry.
Inawezekana Wewe Ni Mmojawapo Ya Watu Walioelimika Upendaye Kujali Afya,Usisite Kuwasiliana Nami Tushauriane Bure Kabisa.
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Wa Afya Wa Green World.
KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama
Sms, call ,Whatsapp 0654523177
Whtsapp Moja Kwa Moja Bofya https://wa.me/255654523177
Email afyaraha@gmail.com