PUNYETO/KUJICHUA[Wanawake,Wanaume]-Tiba Yake

Mungu Ni Upendo

Karibu sana mfuatiliaji wa afyaraha,AfyaRaha Imepata Mrejesho Wa Wasomaji Wengi Na Inawakaribisha Mwendelee Na Msisite Kuitafuta Kuuliza Maswali,Ushauri Na Tiba.Pia AfyaRaha Inawapongeza Wote Ambao Wanaendelea Kutumia Tiba Zetu Na Virutubisho Vya Kujenga Afya Zao Binafsi.
Leo AfyaRaha Inayo Mada Ingine,Kuhusu Masuala Ya Kupiga Punyeto au Kujichua.Fuatilia Hdi Mwisho Na Usiache Kuiandikia AfyaRaha Maoni Yako,Ushauri,Uhitaji Wako N.k.
Kujichua Ni Kitendo Cha Kujitafutia Raha Ya Mapenzi Mwenyewe Kwa Mwanamke Au Mwanaume.
Na Hili Huanza Kidogokidogo na Kutokana Na Uzuri Wake Wengi Huwa Kwao Kama Tabia Isiyoachika Na Mara Nyingi Ni Vigumu Sana Kuacha Maana Huathiri Ubongo(Addiction).
Na Vijana Wengi Hutumia Kama Njia Ya Kuepuka Kufanya Ngono Halisi Wakikwepa Mimba Na Magonjwa.
Lakini Tabia Inavyoendelea Wengine Hudumu Nayo Hadi Wanakuwa Wazee.
AfyaRaha Imeona Kuna mijadala bado inayokinzana kwamba kuna madhara au hapana.
Lakini Juu Ya Suala La Kujifurahisha Manii Inayotoka Ni Sawa Na Mtu Anayefanya Ngono Ila Madhara Huja Kutokana Na Kupendelea Hiko Kitendo Mara Kwa Mara Na Pia Mazingira Ya Utendaji.
KIVIPI?
1.Wengi Hupiga Punyeto HarakaHaraka Na Kwa Kujificha.
2.Na Wengi Hutumia Mikono Kupiga Punyeto Ambayo Huchubua Maumbile,na Pia Husababisha Msuguano Ambao Si Rafiki Kwa Viungo Vya Tendo La Ndoa.
MADHARA HUJA VIPI SASA?
Kutokana Na Kwamba Mtu Huyu Hutumia Nguvu Kubwa Za Kihisia Kutafakari Kama Vile Yuko Na Mpenzi Halisi,Wengi Hupatwa Na Matatizo Ya Neva Na Misuli Ya Ufahamu.
Pia Kutokana Na Kwamba Mtu Hufanya Kujichua Kwa Siri,Hupelekea Hata Uoga Katika Tendo La Ndoa Ukioa Maana Unadhani Ni Haramu.
Pia Utapatwa Na Matatizo Ya Kusahau Hovyo Maana Mara Nyingi Na Kwa Muda Mrefu Dopamine Imepunguzwa Katika Ubongo.
Huondoa Hamu Ya Tendo,maana inaathiri kiwango cha testosterone.
Mwili wako huzeeka haraka,hii ni kutokana na mara kwa mara kupunguzwa kwa testosterone.
Unaweza Kupatwa Na Tatizo la Uume(Kwa Wanaume) Kusinyaa Kabla Hata Ya Kumaliza Tendo La Ndoa.
MADHARA YA PUNYETO MAKUU
AfyaRaha Inaamini Kwamba,Katika Ubongo Kuna Kemikali HuitwaDopamine.Hii huusaidia ubongo kutoa mwitikio juu ya mihemko/misisimko.Pia Katika Matukio Yanayoteka Hisia.
Upungufu Wa Dopamine Husababishwa Na Uathirika Wa PunyetoPia.Hii ni Kwa Sababu Wakati Wa Kupiga PUNYETO Dopamine Nyingi Hutolewa Na Ubongo Maana Mlengwa(me & ke) hujaribu kuvuta hisia kali sana zisizokuwepo.
Upungufu Huo Utakuletea Madhara Haya,Kuwa Mtu Wa Kupoteza Hamasa Haraka,Kuwa Mchovu Hovyo,Kupoteza Hisia,Kushindwa Kufanya Majukumu Kama Ulivyopanga,Kushindwa Kuunganika Na Wengine,Kukosa Hamu Ya Mapenzi,Kumbukumbu Yako Kupungua,Kukosa Tumaini,Kutojikita Katika Jambo Kweli Kweli.
Matatizo Mengi Ya Upungufu Wa Dopamine Sababu Ya Punyeto Ni Katika Akili Na Ufahamu.
$.Madhara Ya Punyeto Kwa Ufupi naweza Kutaja Hivi:—
1.Hupunguza Sana Nguvu Za Mwili
2.Utapatwa Na Uchovu Hovyo,Kujisikia Uvivu
3.Utapatwa Na Ulevi Wa Punyeto
4.Tatizo La Uume Kutosimama Vizuri Au Kusinyaa Litakupata.(Wanaume)
5.Matatizo Ya Mfumo Wa Ufahamu
6.Kuwa Mtu Wa KusahauSahau
7.Kuwahi Kufika Kileleni
8.Kutoona Raha Ya Tendo La Ndoa
9.Upara,Au Nywele Zinanyonyoka(Protini Inapungua Kwa Kasi)
10.Unaanza Kuwa Na Sura Ya Kizee(Kuzeeka Haraka)
11.Hatari Ya Kuanza Kutokuwa Mchapakazi(Maana Nguvu Nyingi Hupote Na Unakuwa Mvivu)
12.Utakuwa Unafanya Tendo la Ndoa Haraka haraka(roughly) bila kumridhisha Wako.
13.Unaacha Kuvutiwa Na Jinsia Ingine
14.Kujitenga au ugumu katika kuhusiana Na Wengine.
UNAWEZAJE KUACHA?
1.Tafuta Kazi Nyingi Za Kukuweka Busy Usifikirie Ujinga Huo.
2.Jichanganye Na Wenzako,Kuliko Kukaa Mwenyewe.
3.Pendelea Kufanya Mazoezi.
4.Usiangalie Vichochezi Vya Ngono.
5.Jikane Nafsi Kweli kweli kuamua Kuacha.
6.Amini Ukifanyacho.
TIBA KUREJESHA AFYA YA MWATHIRIKA WA KUJICHUA.
AfyaRaha inakupatia Virutubisho-Tiba Vitokanavyoa Na Mimea Vinavyogusa Maeneo Yote Yanayoathirika Na Upigaji Punyeto.
Yaani Viungo vya uzazi(uume au uke),Homoni,Misuli,Ubongo Na Mifupa.
Hivi Hurejesha Afya Vizuri Kabisa Kwa Siku Zisizozidi 60 Kwa Wanaume Na Wanawake.
1-Utasikia Raha Zaidi na zaidi Wakati Wa Tendo La Ndoa.
2.Uume(Wanaume) Utasimama Vizuri
3.Utakuwa Na Mbegu(Manii Za Kutosha na zenye afya)
4.Utachelewa Kufika Kileleni(Kufaidi Raha Ya Tendo)
5.Utapata Hamu Ya Tendo La Ndoa Itakayokufanya Umhitaji Mwenzi Wako.
6.Utakuwa imara usiye na Uchovu
7.Utakuwa Na Kumbukumbu Kubwa.
8.Utarejesha Nguvu Za Ujana.
9.Utarejesha Afya Yako Ya Ubongo.
(1-10)Tiba Hii Huenda Kutibu Sehemu Zote Zilizoathiriwa Na Vitendo Hivyo Vibaya.
KUMBUKA:Unaweza Kuamua Kuanza Leo Tiba Au Kuchelewa Uendelee Kuumia Zaidi.Lakini Mimi iNakushauri Uanze Leo.
KWA MWENYE UHITAJI WA DHATI TU KUTIBU MADHARA YA PUNYETO AWE MWANAMKE AU MWANAUME PIGA 0654523177
CHATI NA MIMI WHATSAPP/SMS 0654523177.
Matokeo Utakayopata Utafurahi Daima.

Comments