Je Unasumbuliwa Na Kisukari?

Mungu Ni Upendo

Je Ugonjwa Wa Kisukari Umekuwa Ni Tishio Kwa Maisha Yako Na Hata Kukufanya Unakosa Raha Nafsini Mwako?
Je Umejaribu Njia Mbalimbali Za Kuweza Kurejesha Afya Yako Lakini Unaona Hali Bado Huielewi Hata Unakaribia Kukata Tamaa?
Je Unatafuta Njia Bora Itakayokusaidia Kuishi Kwa Raha Licha Ya Kuwa Na Kisukari?
Inawezekana Kupata Amani Ya Moyo,
DALILI ZA KUKUONESHA KUWA UNA KISUKARI
Kukojoa mara kwa mara: Jee, umekuwa na tabia ya kwenda kupata haja ndogo mara kwa mara? Kama jibu ni ndiyo, basi figo zako sasa haziwezi kuirudisha glucose kwenye mfumo wa damu na badala yake zinachukua maji kutoka kwenye damu na kusababisha kibofu kijae mara kwa mara.
Kiu Isiyoisha: Kama unakojoa mara kwa mara, utapata kiu isoisha kwa sababu mwili unahitaji kurudisha maji uliyopoteza kwenye mkojo.
Njaa Kali: Kama isulin yako haifanyi kazi au kama huna insulin, mwili wako unakosa glucose ya kuupa nguvu. Katika kutafuta njia nyingine ya kupata nguvu, mwili utakuwa na njaa ili uupatie chakula.
Kuongezeka kwa uzito (unene): Hii inatokana na dalili ya kusikia njaa kali.
Kupungua uzito kusiko kawaida: Hili huwatokea zaidi wagonjwa wa Type 1 Diabetes kwa sababu kwa kukosa insulin na seli kukosa chanzo cha kupata nguvu, mwili huanza kuvunjavunja misuli na kuyeyusha mafuta ya mwili ili upate nguvu hiyo hali inayochangiwa zaidi na tabia ya kisukari cha aina hiyo kujitokeza kwa ghafla.
Uchovu wa mwili: Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu, uchovu hutokea.
Hasira: Hasira zinaweza kuwa ni sababu ya mwili kukosa nguvu.
Kutoona vizuri: Ugonjwa huu husababisha mtu kushindwa kuviona vitu vizuri. Tatizo hili hutibika lakini mara nyingine hali huweza kuwa mbaya kiasi cha kuwa na tatizo la kudumu au kupata upofu.
Vidonda kutopona vizuri au haraka:Unapokuwa na sukari nyingi katika damu, uwezo wa mwili kuponya vidonda hupungua.
Magonjwa ya ngozi: Mwili wenye sukari nyingi ndani ya damu huwa na uwezo mdogo sana wa kujiponya kutokana na maambukizi ya wadudu. Wanawake wenye kisukari huwa na maambukizi zaidi na hupata shida kubwa ya kuponya maambukizi ya sehemu nyeti za miili yao.
Kuwashwa kwa ngozi: Kuwashwa kwa ngozi mara nyingine ni dfalili ya kuwa na kisukari.
Kuwa na fizi nyekundu au zilizovimba:Fizi nyekundu na/au zilizovimba huweza kuwa kuwa ni dalili ya kuwa na ugonjwa wa kisukari, mara nyingine meno hulegea.
Uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa: Hili ni tatizo hasa la wanaume wenye umri unaozidi miaka 50, ambapo mara nyingi watakosa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu au uwezo wao wa kufanya tendo hilo kufa kabisa (Erectile Dysfunction).
Ganzi mikononi au miguuni: Uzidifu wa sukari mwilini huweza kuharibu neva au mishipa midogo ya damu inayolisha neva, hivyo kusababisha hali ya ganzi mikononi au miguuni.
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Toka Green World Naweza Kukusaidia Japo Uishi Kwa Raha Licha Ya Kisukari.

KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama.
Sms call Whatsapp 0654523177
Email afyaraha@gmail.com
www.afyaraha.com

Comments