Je Virutubisho Ni Bora Kuliko Dawa?

Mungu Ni Upendo

KULINGANISHA DAWA NA VIRUTUBISHO
Kuna Pande Mbili Kwa Kila Unachochagua.Faida Na Hasara.Kwa Mtazamo Huo Kila Kitu Ni Kizuri Na Kila Tiba Ina Umuhimu Wake.Ni kweli kwamba tumekuwa na tunaendelea kutumia dawa za kifamasia kwa muda mrefu LAKINI Karibuni Wengi Wanarudi Katika Kutegemea Vitu Asilia,Mitishamba Na Virutubisho Asilia.
Kama Nilivyosema Kuna Faida Na Hasara Kwa Kila Kimoja.Lakini Si Hoja Ya Kutufanya Tusitumie,Kila Kimoja Kitafanya Kwa Sehemu Yake.Soma Na Ulinganishe Kisha Utagundua.
A.Kuthibiti Dawa Za Kifamasia Na Virutubisho
Mamlaka Zilizowekwa Katika Serikali Mbalimbali Kusimamia Dawa Na Vyakula Kama TFDA,Siku Zote Huhakikisha Raia Wake Hawatumii Dawa Au Kirutubisho Kisichothibitishwa Katika Maabara Zao Ikiwa Kina Madhara Yaliyokithiri.Na Hili Limeboresha Maisha Yetu,Leo Hii Nchini Tanzania Kila Kiwanda Cha Dawa au Virutubisho Cha Ndani Ya Nchi Au Nje,Kabla Ya Dawa Au Kirutubisho Chake Kuwafikia Raia Huthibitishwa Na Mamlaka Hio.
B.Mtazamo Wa Virutubisho
Ni Ukweli Wazi Kwamba,Matumizi Ya Tiba Za Kiasili Yamekuwepo Miaka Mingi Kabla Ya Dawa Za Kifamasia Japokuwa Tiba Za Kiasili Awali Hazikuwa Na Vipimo Vya Kitaalamu Kama Dawa Za Kifamasia.
Lakini Kote Duniani Watu Wote Hupambana Kutafiti Kilicho Katika Tiba Asilia,Kinavyofanya Kazi,Madhara Yake Na Tiba Zisizofaa.
Na Utumiaji Wa Tiba Hizi Asilia Umekuwa Ukirithishwa Kwa Vizazi Na Vizazi Na Karibia Kila Jamii Iliyoko Duniani Huendeleza Utamaduni Wa Tiba Asilia.
HATUA KUBWA ni kwamba Siku Za Hivi Karibuni Katika Nchi Zilizoendelea Virutubisho Au Tiba Asilia Zimechukuliwa Kuwa Ni CHAKULA,si dawa.
(¹ Virutubisho Imetoholewa Kutoka=Nutrients,Dietary Supplements Na Food Supplements).
Na Hivyo Makampuni Ya Kutengeneza Virutubisho Hujitahidi Kutengeneza Katika Virutubisho Salama Na Vinavyofanya Kazi.
Na Wengi Leo Hii Katika Nchi Zilizoendelea Hupendelea Kutumia Virutubisho Kama Sehemu Ya Maisha Ya Kila Siku Ili Kulinda Afya,Kama Ambavyo Inajulikana Madhara Ya Virutubisho Hivyo Ni Machache Na Nadra.
C.Ufanisi Wa Dawa Za Kifamasia
Bila Kubabaisha Ni Kwamba,Dawa Za Kifamasia Ni Bora Na Zimethibitishwa Kabla Ya Kumfikia Mtumiaji.Huchunguzwa Usalama Wake,Ubora Wake Na Madhara Yaliyomo,Licha Ya Kwamba Kwaweza Kuwemo Na Kemikali Ambazo Huachia Mtumiaji Madhara(² e.g Aspirin).
D.Ufanisi Wa Virutubisho
Wengi Wanaotumia Virutubisho Huthibitisha Ufanisi Wake,Ukiongezea Na Ushahidi Wa Kisayansi.Na Sababu Hasa Ni Kwamba Viungo Vyote Vya Virutubisho Ni Kutoka Katika Viasilia,Ikimaanisha Hakuna Kemikali Hatarishi Au Nyongeza Ndani Yake.
Kwa Nini Wengi Hurudia Virutubisho Kama Sehemu Ya Chakula?
1.Wameona Upungufu Wa Virutubisho Muhimu Mwilini Ambavyo Si Rahisi Wao Kuvipata Katika Chakula.
2.Wameona Ongezeko La Sumu Nyingi Zinazotuzunguka,Kutoka Katika Dawa Za Kutibu Maji,Viwanda,Dawa Za Kilimo Na Hewa Chafu.
3.Kumekuwepo Na Shida Katika Mfumo Wa Mmeng’enyo Wa Chakula,Ambao Hushindwa Wakati Mwingine Kuchukua Virutubisho Kutoka Katika Chakula Ulichokula Moja Kwa Moja.
4.Kuwepo Kwa Msongo Wa Mawazo,Ambao Hupunguza Uwezo Wa Kuishi.
NUKUU: (⁴ Katika Maeneo Yaliyoendelea Kuna Viwanda Vingi,Mionzi Mingi,Hewa Chafu Nyingi,Kemikali Nyingi,Msongo Mkubwa Wa Mawazo,Bakteria Wengi Na Uhaba Wa Chakula Rutubishi; “Mambo Ambayo Yako Hata Kwetu;” Hivyo Kwa Kila Siku Watu Hutumia Virutubisho Ambavyo Ni Sehemu Ya Chakula Ili Kusafisha Sumu Mwilini,Kurejesha Virutubisho Vilivyopungua Na Kulinda Afya)
Wazo Hilo Haliondoi Matumizi Ya Dawa Za Kifamasia,Virutubisho Ni Chakula.
Unahitaji Virutubisho Kwa Ajili Ya Afya Yako?
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Toka Green World

KUMBUKA,Tuna Wajibu Wa Kujali Afya Zetu Wenyewe Katika Dunia Ya Sasa Kabla Ya Kuugua.Inawezekana Kuwa Salama.
Sms call Whatsapp 0654523177
Email afyaraha@gmail.com
www.afyaraha.com

Comments