Kirutubisho Cha Vig Power Wanaume

Mungu Ni Upendo

Vigpower Capsule (For Men)

Viungo:

Semen Cuscutae, Fructus Lycii, Rhizoma Dioscoreae, Radix Rehmanniae Preparata. Cortex Moutan
Vig Power Capsule

Kazi Na Faida Zake

    • Hutoa nguvu inayotakiwa na kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuboresha figo
    • Huongeza idadi ya mbegu (sperm count) na kuongeza uwezo wa mbegu kutembea (sperm motility)
    • Kumwongezea mwanamme hamu ya kufanya mapenzi, kuongeza uwingi wa oksijeni ndani ya damu itakayosaidia uume kusimama imara ili kumudu kufanya tendo la ndoa
  • Inasaidia matatizo ya kufanya mapenzi kama kuwahi kufika kileleni, jogoo kushindwa kuwika na mbegu kutoka kila wakati bila ridhaa.

Yafaa Kwa:

    • Wanaume wanaotaka kuboresha uwezo wao wa tendo la ndoa
  • Wanaume wenye matatizo kwenye viungo vyao vya uzazi kama kuwahi kufika kileleni, jongoo kushindwa kupanda mtungi na shahawa kutoka zenyewe kila wakati.
semen cuscutae

Maelezo Muhimu:

Semen Cuscutae:
Kazi kubwa ya Semen Cuscutae ni kuzipa figo viungo muhimu na kusaidia kuboresha tendo la ndoa na uwezo wa kuzalisha.
fructus lycii
Fructus Lycii:
Kazi kubwa ya Fructus Lycii ni kuupa mwili nguvu ili mtu awe na nguvu za kutosha wakati kufanya tendo la ndoa. Fructus Lycii huongeza muda wa kufika kileleni na kuwafanya washiriki wote wawili kuridhika.
Rhizoma Dioscoreae:
Viungo muhimu ndani ya Rhizoma Dioscoreae ni pamoja na tindikali za amino 18 na madini adimu zaidi ya 10 yenye kumwongezea mtu uhai na mwenye kujisikia vizuri.
Radix Rehmanniae Preparata:
Radix Rehmanniae Preparata inaongeza uwezo wa kuhimili uchovu na kuboresha ufanyaji kazi wa figo. Inasaidia kuondoa tatizo la shahawa kudondoka zenyewe na tatizo la kuwahi kufika kileleni, ambayo ni matatizo yanayowasumbua wanaume wengi.
cortex moutan
Cortex Moutan:
Cotrex Moutan huboresha mzunguko wa damu ndani ya vijishipa vidogo, huondoa vizuizi vya mzunguko wa damu hivyo kuongeza mtiririko wa damu kuelekea kwenye viungo vya uume (cavenous body).
dawa ya vigpower
Je Unahitaji Virutubisho Vya Vig Power Kwa Ajili Ya Afya Yako?
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Toka Green World

Sms call Whatsapp 0654523177
Email afyaraha@gmail.com
www.afyaraha.com


Comments