Kirutubisho Cha Mult-Vitamin
Viungo;
Vitamin A,Vitamin B2,Vitamin B6, Vitamin B12, Vitamin C,Vitamin D, Vitamin E, Folic acid na Niacin.
Vitamin A,Vitamin B2,Vitamin B6, Vitamin B12, Vitamin C,Vitamin D, Vitamin E, Folic acid na Niacin.

Sifa Na Faida
1.Huweka Sawa Mfumo Wa Utendaji Kazi Wa Mwili.
2.Huupatia Mwili Vitamin Zinazohitajika Kila Siku
3.Huweka Sawa Uyeyushwaji Wa Mafuta Mwilini.
Yafaa Kwa
1.Wenye Upungufu Wa Vitamin
2.Wasiopata Kiwango Cja Kila Siku Cha Vitamin Inayohitajika Mwilini.
3.Wasioona Vizuri
4.Wasio Na Kinga Imara
5.Wanaokua Kwa Uhafifu(Kudumaa)
6.Wenye KumbuKumbu Ndogo
7.Wanaoangalia TV,Kompyuta, Simu Kwa Muda Mrefu(Kulinda Macho)
8.Wanaokula Vyakula Vyenye Sukari.

MAELEZO MUHIMU:
Vitamin A:
Ni Vitamin Ya Kuwezesha macho.Kama Mtu Anaangalia TV Muda Mrefu,Kompyuta Muda Mrefu Au Vifaa Vingine Vyenye Mwanga Mkali,Macho Hutumia Kiwango Kingi Cha Vitamin A.Na Vitamin Hio Ikipungua Sana Hupelekea Kutoona Vizuri,Kudumaa Na Kinga Kushuka.
Vitamin B
Watu Wanaokula Sana Vyakula Vitamu(Sukari) Huweza Kupata Upungufu Wa Vitamin B Jwa Sababu,Vyakula Vitamu(Sukari) Huharibu Kirahisi Vitamin B.Vitamin B Ni Muhimu Kwa Ajili Ya utendaji kazi mzuri wa ubongo na uunguzwaji wa vyakula vya wanga.Vitamin B6,B12,Folate Na Hasa B1 ni Muhimu Kwa Ajili Ya Ubongo Na Upungufu Wake Huweza Kupelekea Upungufu Wa Umakini Na Kukosa KumbuKumbu.
Vitamin C
Matunda Na MbogaMboga Ni Chanzo Kikuu Cha Vitamin C Na Watu wengi Hawapati Vitamin C Maana Hawapendelei Kula Vyakula Halisi Kama Mboga Ma Matunda.Kupendelea Sana Vyakula Vya Viwandani Hupelekea Wengi Kupata Upungufu Wa Vitamin C.Hawa Huweza Kupata Matatizo Ya Baridi Yabisi Na Maambukizi Mengine. Vitamin C Ni Muhimu Kwa Ajili Ya Ukuaji Mzuri,Kupona Kwa Vidonda Na Fizi Zenye Afya.
Vitamin E
Theluthi 2 Ya Watu Hawapati Vitamin E ya Kutosha.Vitamin Hii Ni Muhimu Kwa Afya Ya Moyo Na Kulinda Moyo.Kupungua Kwa Vitamin Hii Kwa Watoto Hupelekea Kudumaa Na Anaemia(Tatizo La Damu)
Je Unahitaji Virutubisho Vya MultVitamin Kwa Ajili Ya Afya Yako?
Wasiliana Nami David Mondi-Mshauri Toka Green World
NB:Ni Muhimu Kipendelea Kujali Afya Zetu Katika Dunia Ya Sasa.Kabla Ya Kuugua Tujilinde.
Sms call Whatsapp 0654523177
Email afyaraha@gmail.com
www.afyaraha.com
Comments
Post a Comment